Zipo Nyingi Mzee, kwa uchavche tu kuna nyingine zilitungwa na zipo kwenye vitabu vya Sheria (statute books) lakini hazikuwahi kutangazwa kutumika. Kama ifutavyo:
(i) Zipo zilizotungwa na lakini hazitumiki kabisa kutokana na kukosekana kabisa au kuwepo kwa mfumo duni wa utekelezaji vya vyombo vya usimamizi (implementation framework). Hizi ni zile ambazo kwa mfano mamlaka husika za usimamizi hazijaundwa kabisa au zimeundwa lakini hazinauwezo wa kutosha wa kutekeleza majukumu yake kama sheria ilivyokusudiwa.
(ii) Zipo pia sheria zilizotungwa pasipo kuwepo "study" ya kabla ya kina kuhusu umuhimu wa kuwepo kwa sheria hizo ("socio-economic impact assessment")
(iii) Zipo sheria ambazo zilitungwa kwa makusudi maalumu lakini makusudi yalipokwisha zimendelea kuwepo pasipo kuangaliwa tena kama zinafaa kuwepo (kuhuishwa au kufutwa kabisa).
(iv) kuna zile ambazo zimekuwepo kwa lengo zuri lakini zikatumika na watawala kwa makusudi tofauti
(v) zipo pia ambazo zina mapungufu makubwa au vipengele vinavyogngana na sheria nyingine au hali halisi ya madhumunin ya kuwepo kwake. Hizi zinapaswa kupitiwa upya kwa lengo la kufanyiwa marekebisho (zimepitwa na wakati/outdated).
Kwa orodha ya zile ninazozifahamu ni kama ifutavyo:
- Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ya Mwaka 1977
- imepitwa na wakati ina mapungufu ya kushindwa kutekeleza kwa kina madhumnuni yake.
- The Tanzania Investment Act
- The Rural Farmlands (Acquisition and Regrant) Act
- The Prevention of Gambling Act
- The Notaries Public and Commissioners for Oaths Act
- The Public Trustee (Powers and Functions) Act
- The Commissions of Inquiry Act
- The Expulsion of Undesirables Act
- The Law of Marriage Act
- The Succession (Non-Christian Asiatics) Act
- The Age of Majority Act
- The National Industries (Licensing and Registration) Act
- The National Security Act
- The Explosives Act
- The Trustee Investments Act
- The Industrial Court of Tanzania Act
- The Occupiers Liability Act
- The Tourist Agents (Licensing) Act
- The Agricultural Products (Control of Movement) Act
- The Building Societies Act
- The Institute of Finance Management Act
- The Mzumbe University Act
- The Land Act
- The Village Land Act
- The Privatisation Trust Act
- The Production Development Funds Act
- The Kariakoo Market Corporation Act
- The Grass Fires (Control) Act
- The Produce Export Act
- The Tanzania Industrial Studies and Consulting Organisation Act
- The Tanzania Industrial Research and Development Organisation Act
- The National Milling Corporation Act
- The Road Traffic Act
- The Law Reform Commission of Tanzania Act
- The Agricultural Inputs Trust Fund Act
- The Exports Control Act
- The Regions and Districts (Establishment Procedure) Act
- The Public Order Act
- The Potable Spirits (Compounding) Act
- The Severance Allowance Act
- The Security of Employment Act
- The Deportation Act
- The Traditional Liquor (Control of Distillation) Act
-
- The Public Leadership Code of Ethics Act