Sheria zinanichanginyi saani ?

The only

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2011
Posts
10,805
Reaction score
14,181
Wakuu ni kwanini chenge aue mtu kwa uzembe alipe laki sita harafu mwizi wa kuku miaka 3 bila faini.ua kwa kuwa sheria ni taaluma exacutive ina jali executive offences , na mahakama yetu kama pesa ilizotaarifiwa kuibiwa ni 40 bln na kidogo kwa nini ilipotoa hukumu ya bion kama 6 isikomae na walioiba zingine hata wakirudisha haifuti kosa au iko influenced na siasa ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…