sheria zinasemaje hapa?

sheria zinasemaje hapa?

kanewi

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2012
Posts
298
Reaction score
200
nikiwa kama machine operator wa mamlaka ya reli,imetokea ajari kwa behewa kotoka kwenye reli kutokana na ubovo wa machine yaani zimechoka,kwanza tokea wachina wazifunge mwaka 1975 hazija fanyiwa ukarabati ,.na je hapa kwetu tanzania tuna idara ipi inayohusika na ukaguzi wa ubora wa machine?
 
Back
Top Bottom