S Sharifu ramadhani New Member Joined Jun 17, 2019 Posts 4 Reaction score 2 Jun 17, 2019 #1 Jaman naombeni msaada Nahitaji passmark za udsm na tumain katika kozi ya sheria
mpimamstaafu JF-Expert Member Joined Jul 18, 2018 Posts 4,445 Reaction score 4,707 Jul 20, 2019 #2 Sharifu ramadhani said: Jaman naombeni msaada Nahitaji passmark za udsm na tumain katika kozi ya sheria Click to expand... Ingia kwenye Website zao mkuu
Sharifu ramadhani said: Jaman naombeni msaada Nahitaji passmark za udsm na tumain katika kozi ya sheria Click to expand... Ingia kwenye Website zao mkuu
M MZEE RAZA JF-Expert Member Joined Feb 19, 2015 Posts 3,464 Reaction score 2,454 Jul 31, 2019 #3 Sharifu ramadhani said: Jaman naombeni msaada Nahitaji passmark za udsm na tumain katika kozi ya sheria Click to expand... Kwa UDSM haka hauna division one ya points 3 hadi 6 huwezi pata nafasi ya kusoma law, Wewe una division two ya points ngapi?
Sharifu ramadhani said: Jaman naombeni msaada Nahitaji passmark za udsm na tumain katika kozi ya sheria Click to expand... Kwa UDSM haka hauna division one ya points 3 hadi 6 huwezi pata nafasi ya kusoma law, Wewe una division two ya points ngapi?