Ndio, na ndivyo ilivyo kwa nchi nyingi sn duniani, kuna kitu wanaita territorial jurisdiction, ivi itawezekanaje Tanzania kutumia sheria za izrail? Au canada? Ni wazi kwamba kila nchi ina mfumo wake wa sheria, inabakia zile sheria za jumla kwamfano kila mwanachama wa umoja wa mataifa anatakiwa kuiridhia, km vile azimio la umoja wa mataifa linalohusu haki za watoto na mengi mengineyo, hio ni kwa ufupi tu kaka