Umeshtukia!ngoja wakuvimbishe kichwa na uto tuvyuma twako unatonyanyua hawakutakii mema hawa ooohh.Nina wasiwasi anaweza kukupiga stop hata ya kuja hapa jf.
Mimi sinyanyui vyuma, ni mwalimu wa gym wa kujitolea pia ni mtaalamu wa TYK.
1.Kwenye red wapwa watajibu.
2. Kwenye blue sipendi vidosho natafuta mchumba.
Wapwa na mabinamu, huyu nguli anahitaji ushauri, hatutaki kuja kuleta matunda MOI ukiwa umepigwa kama umegonwa na trekta ya kilimo kwanza, dont say we didnt warn you.
Nipatie contact zake tena huyu ndio mzuri hachoki hata mwende asali mwezi/honey moon ya mwezi yeye yuko fit tatizo kidogo kwenye ugomvi anaweza akanikaba ila anyway nitakomaa nae.
Ah ah ah ah ah ah...!YAANI HAPO KILA SIKU UTAKUWA UNAPOKEA KICHAPO
Kuchelewa kurudi homeKOSA
ADHABU
Ngumi kumi na nne
Kuchelewa kupokea simu
Vibao vitano
Kutoka na kabinti kengine
Mateke
Kukutwa na msg ya mahaba
Kabari
Fumanizi
Matege, vifuti na vipepsi vya kumwaga