Jayfour_King
JF-Expert Member
- Nov 15, 2009
- 1,135
- 130
Dont tell me Preta!..didnt know this..huh!mambo mengi sana binadamu anayofanya sasa yanamshangaza shetani...kukujuza tu ni kwamba shetani anamuogopa binadamu siku hizi kama ukoma...na anashangaa sana ni wapi alipolemaa tukamfunika namna hii
Dont tell me Preta!..didnt know this..huh!
mambo mengi sana binadamu anayofanya sasa yanamshangaza shetani...kukujuza tu ni kwamba shetani anamuogopa binadamu siku hizi kama ukoma...na anashangaa sana ni wapi alipolemaa tukamfunika namna hii
Nasikia anashaangaa hata watu kulana tigo wamelitoa wapi
Mawazo mazuri mkuu, lakini ukumbuke kwenye mambo ya imani hakuna kampeni mambo huenda otomatiki. Na hivyo hasafishwi mtu hapa!!Shetani ni Baba wa Uovu. Hakuna tendo wala dhambi yoyote ambayo mwanadamu kaianzisha mwenyewe. Dhambi zote hutoka kwa yule mwovu, ambaye kila kukicha anagundua uovu wa aina mpya ambao utamkasirisha zaidi Mungu. Nawashangaa mnaomtetea shetani ili hali lipo wazi kwamba kazi ya kupotosha ulimwengu ndiye anayeifanya. Au mna mikataba naye, hivyo mnajaribu kumsafisha???