Victor wa happy
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 11,660
- 11,654
Yaani hamna hata supporting evidence hata moja..!!!Ashukuriwe Mungu aliye juu, tukiwa kwenye wiki takatifu, wiki ya kufufuka kwa mkombozi wa ulimwengu YESU KRISTO hatimaye shetani ameaibika tena baada ya maombi ya kumwombea mtumishi wa Mungu rose muhando
Shukrani ziwaende watumishi wa Mungu kenya waliojitoa kwa hali na mali kuhakikisha rose anakuwa salama
Baada ya miezi kadhaa sasa umerudi kuwa vema
Ushauri kwa rose kaa mbali na mafisi yanayokutamani kwani wewe umebeba maono ya watu wengi kupitia uimbaji wako.
Niwatakie wiki njema ya kwaresma kuelekea kufufuka kwa KRISTO
Huyu shetani kila kitu anasingiziwa yeye, yaani mtu abwie maunga yake lawama apewe shetani hii ni hatariAshukuriwe Mungu aliye juu, tukiwa kwenye wiki takatifu, wiki ya kufufuka kwa mkombozi wa ulimwengu YESU KRISTO hatimaye shetani ameaibika tena baada ya maombi ya kumwombea mtumishi wa Mungu rose muhando
Shukrani ziwaende watumishi wa Mungu kenya waliojitoa kwa hali na mali kuhakikisha rose anakuwa salama
Baada ya miezi kadhaa sasa umerudi kuwa vema
Ushauri kwa rose kaa mbali na mafisi yanayokutamani kwani wewe umebeba maono ya watu wengi kupitia uimbaji wako.
Niwatakie wiki njema ya kwaresma kuelekea kufufuka kwa KRISTO
aminaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaAshukuriwe Mungu aliye juu, tukiwa kwenye wiki takatifu, wiki ya kufufuka kwa mkombozi wa ulimwengu YESU KRISTO hatimaye shetani ameaibika tena baada ya maombi ya kumwombea mtumishi wa Mungu rose muhando
Shukrani ziwaende watumishi wa Mungu kenya waliojitoa kwa hali na mali kuhakikisha rose anakuwa salama
Baada ya miezi kadhaa sasa umerudi kuwa vema
Ushauri kwa rose kaa mbali na mafisi yanayokutamani kwani wewe umebeba maono ya watu wengi kupitia uimbaji wako.
Niwatakie wiki njema ya kwaresma kuelekea kufufuka kwa KRISTO
Narudia tena jaman
KABISA NI MOJA TU TENA NI KANISA KATOLIKI TAKATIFU NA LA MITUME...
kanisa ni moja tu Katoliki Takatifu na La Mitume..
Ma mdogo kwani celebrities wote tunaosema nao kwenye hili jukwaa tuna uhakika kuwa wapo humu?Una uhakika rose yupo humu asome ushauri uliompa?
Karanga hizo wewe!C Yesu!Ashukuriwe Mungu aliye juu, tukiwa kwenye wiki takatifu, wiki ya kufufuka kwa mkombozi wa ulimwengu YESU KRISTO hatimaye shetani ameaibika tena baada ya maombi ya kumwombea mtumishi wa Mungu rose muhando
Shukrani ziwaende watumishi wa Mungu kenya waliojitoa kwa hali na mali kuhakikisha rose anakuwa salama
Baada ya miezi kadhaa sasa umerudi kuwa vema
Ushauri kwa rose kaa mbali na mafisi yanayokutamani kwani wewe umebeba maono ya watu wengi kupitia uimbaji wako.
Niwatakie wiki njema ya kwaresma kuelekea kufufuka kwa KRISTO
Hivi kwa nini mnapenda kumsingizia shetani kwa ujinga wa mtu mwenyewe?Ashukuriwe Mungu aliye juu, tukiwa kwenye wiki takatifu, wiki ya kufufuka kwa mkombozi wa ulimwengu YESU KRISTO hatimaye shetani ameaibika tena baada ya maombi ya kumwombea mtumishi wa Mungu rose muhando
Shukrani ziwaende watumishi wa Mungu kenya waliojitoa kwa hali na mali kuhakikisha rose anakuwa salama
Baada ya miezi kadhaa sasa umerudi kuwa vema
Ushauri kwa rose kaa mbali na mafisi yanayokutamani kwani wewe umebeba maono ya watu wengi kupitia uimbaji wako.
Niwatakie wiki njema ya kwaresma kuelekea kufufuka kwa KRISTO
Kwa hiyo unataka kusema thread ina "WEAKNESS"?Yaani hamna hata supporting evidence hata moja..!!!
Ahahahahaaa sema tu ni dhaifu
Amepona mapepo?Ashukuriwe Mungu aliye juu, tukiwa kwenye wiki takatifu, wiki ya kufufuka kwa mkombozi wa ulimwengu YESU KRISTO hatimaye shetani ameaibika tena baada ya maombi ya kumwombea mtumishi wa Mungu rose muhando