Shetani hakupi mtihani mgumu kabla hujawa mali yake

Kaunara

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2013
Posts
249
Reaction score
452
Wale wanaotafuta msaada kutoka kwa shetani mwanzoni wanapewa masharti marahisi sana.

Kwanza kabisa fahamu ushirikina wowote lazima kufanya Update ili uendelee kubaki katika Peak. Unapoenda kuomba msaada kwa shetani mwanzoni mambo ni shwari sana.

Mfano mtu anatafuta utajiri mwanzoni huwa rahisi sana. Unaagizwa mambo ambayo huwezi jua ni mtego.

Mwanzoni utaagizwa kuku mweusi, kuku mweupe. Lete kitambaa flani, hivi vitu vinakuletea maendeleo hadi sehemu flani.

Mfano katika biashara labda mgahawa. Unaweza peleka kuku wateja wakaja miezi mitano mfululizo. Badae unaona wamekata. Hapo jina lishaanza kuwa kubwa na tambo za kutosha kitaa kila kona. Unakuta unajuana hadi na wakubwa flani ghafla wanakata. Unaona noma kurudi ulikotoka. Hapo lazima urudi kwa mtaalamu.

Hapo utaambiwa jamaa hawataki tena kuku umefikia level flan jamaa wanataka ndugu katika familia. Hapo unajichanga unatoa mmoja labda unaenda miaka miwili unatoa ndugu hata watatu. Mambo yanazidi kupendeza kwako. Ghafla yanapungua unarudi tena.

Unaambiwa safari hii bwana ni mtoto wako flani. Unakuta yule unayemuelewa hatari. Hapo unakuwa una ujanja tena. Shetani amekukamata. Anakuonyesha alipokutoa sehemu flani umefika hadi hapa. Ukitaka kuacha basi umpe uhai wako au urudi kuwa masikini wakutupwa. Huu unakuwa ni mtihani mkubwa sana.

Watu wanamshangaa P. Diddy kutembea na wanaume. Ila wapo watu Tanzania hii wanatembea hadi na mama zao na dada zao.

Ukienda Mbeya, Pale uyole sokoni kuna tajiri mkubwa sana alikuwa anatembea na kichaaa wa sokoni hadi akampa mimba na kazaa mtoto na jamii karibu yote ya pale wanajua.

Shetani ni kama mamba mtoni, akimdaka mnyama anachofanya ni kumpeleka kwenye kina kirefu kwa upole. Akifika kina kirefu hapo ndo huwa anafanya makeke yote. Ni vigumu sana mnyama kumchomoka mamba ndani ya kina kirefu cha maji.

Mwisho wa kumtumikia shetani ni aibu, fedheha na kujizalilisha. Maana ni ngumu sana kumtimizia shetan mambo anayotaka. Unaweza ambiwa mwishoni umtafute mpiga debe kama ni mbaba awe anakushona unampa hela. Shetani hana hurafiki na binadamu hata siku moja. Ni sawa na nyoka aje kuomba msaada kwa binadamu mwisho wa siku lazima atauwawa tu awe na sumu au hana.

Tulizike na tunachopata katika maisha tuache kuhangaika. Mali halali tumia akili, nguvu na utashi wako uliopewa na Mungu Bure. Ukiona Mungu Hakupi mali jitafakari sana. Pengine hizo mali hutatumia kuharibu watu wengi sana hapa dunian au kulipiza kisasi na kufanya watu wengine wachukie maisha yao hapa duniani.

Kwaiyo Mungu huwa anaangalia wapi haweke utajiri wake. Kutwa unatongoza wake za watu na bado unaomba utajiri kwa Mungu badilika aisee. Huwezi pata.
 
PHD
 
Back
Top Bottom