Shetani hana akili. Anafaidika nini nikizini?

Tatizo tunakumbukaga nyeto tayari ikiwa umeshatumia hela🤣🤣🤣
 
pga show maisha mafupi
 
Rafiki,hamna dhambi mbaya Kama dhambi ya zinaa,maana dhambi hii hutendeka juu ya mwili wako,unalinajisi hekalu la roho mtakatifu,Kama unavyojinasibu umeokoka,hebu karibu kuishi kwa mfano wa Kristo,Kama umeshindwa acha kutoa taswira mbaya ya kuuchafua ukristo...
 
Unajua sex ni raha sana ila hujui madhara yake unakubali maisha yako yawe ya mtu mwingine .
Kiroho ukilala na mtu kuna mengi anakuachia kweli .

Nampaka uje ukajue umepoteza dira mimi nipo single sio naenjoy ila najaribu kutafuta suluhu .

Maisha ya kusex na kuachwa kama gari mbovu hii ni mbaya sana .
Zamani ilikuwa wadada sasa ni wakaka pia wanaambukizwa mikosi,mabalaa na mengine mengi ya ajabu .

Waliooa na ambao hawajaoa wote wanaambukizwa niwanadamu tu
 
Umeongea pointi kubwa Sana.
 
Acha tu,,
Yaan full mamikosi htr...
 
Wewe ndo huna akili, shetani ulimwona wapi au huyo mwanamke ndo unamwita shetani?
 
Shetan akishindwa anamtuma mwanamke aje akujaribu.

Anyway, Mdada wa watu alikuwa ana shida ya hela ya nauli + matumizi mengine.
 
Nimesoma hii post nikawa najiuliza, hivi huyu joannah kweli?

Karibu kwa Yesu joannah, Yesu anakupenda.
 
Nimesoma hii post nikawa najiuliza, hivi huyu joannah kweli?

Karibu kwa Yesu joannah, Yesu anakupenda.
Ha ha haaaa,Asante Sana...Ila nafikiri unahitaji kunijua vizuri,Mimi Ni mfuasi mzuri sana wa Kristo..Maisha yangu Ni Kristo,najivunia kuwa wa Kristo,kifupi nilishafanyika mwana.
 
Unaposex yeye anapiga nyeto unapokojoa nae anakojoa Tena Kwa ukunga mkali.....kama hujui mwanzilishi na mtaalamu wa nyeto ni Ibilisi
 
Ha ha haaaa,Asante Sana...Ila nafikiri unahitaji kunijua vizuri,Mimi Ni mfuasi mzuri sana wa Kristo..Maisha yangu Ni Kristo,najivunia kuwa wa Kristo,kifupi nilishafanyika mwana.
Hongera sana binti wa Yesu
 
Kuokoka siyo lele mama my friend ni kujikana. Shetani hawezi kukuacha hivi hivi tu. Nenda kwa watumishi wa Mungu wakuongoze sala ya toba na uhudhurie mafundisho uombewe Roho Mtakatifu ili aweze kukupa nguvu za kushinda. Kuanguka kwako katika uzinzi kusikukukatishe tamaa kama kweli umedhamiria kwa kweli kuokoka, Kuokokoka ni kumkubali Yesu kuwa Bwanana mwokozi wa maisha yako na kumkataa ibilisi. Biblia inasema mpingeni shetani naye atawakimbia. Sasa ukiendelea kumkaribisha yeye atatumia hao wanawake kukuangamiza maana ndiyo kazi yake.
 
Najua tu huyu ni shetani, hii hela ningejaza mafuta yangenisukuma wiki nzima
Shetani amekaa paaale anakuangalia tu unavyompakazia ujinga wako, yaani jambo ufanye wewe umpakazie shetani, au ndio wale wenye ile kauli "ooh shetani alinipitia tu" alikupitia kwenda wapi una undugu na shetani wewe? Ushawahi hata kumuona?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…