Wakati unatamani baba yako angekuwa [HASHTAG]#Dangote[/HASHTAG].
Wakati huo huo baba yako naye anatamani we ungekuwa MBWANA SAMATTA [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Kumbukeni Shetani Anacheza na Akili zenu wote wawili [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji54][emoji54][emoji54]
Sent using
Jamii Forums mobile app