Shetta: Sina mpango wa kufanya kazi na Ali Kiba

Ali Kiba tumia fursa, Baba Kayra anataka kukutoa
 
ye mwenyewe anahitaji msaada, alafu bado anajinasibu kuwa watu waende kwake akawasaidie!!
 
mmmmhhh
hhahaaaa sasa sheta naona anatafuta nitoke vipi
hivi maana anaona haya sasa kila siku yeye aombe kolabo sasa anatafuta pa kuponea imekula kwake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…