Administer
JF-Expert Member
- Feb 9, 2020
- 1,271
- 1,604
Lazima niseme ukweli,ukosoaji wa kweli dhidi ya serikali unatoka nje ya wanachama wa CCM.
MwanaCCM ukiona anaikosoa serikali ujue njaa inamsumbua yaani kakosa mkate(maslahi) siku akipewa mkate anageuka kabisa na kuwa mtetezi wa chama na serikali.
MwanaCCM anayeitetea Serikali na chama hatakama Chama au serikali imekosea ujue ana maslahi au anatarajia kupata maslahi, atakaponyimwa maslahi naye anageuka kabisa.
Kinachoendelea sasa hivi kila mwenye kufuatlia siasa anajua kinachofanyika katika CCM na serikali. Wanachama wa CCM wameganyika kuna wanaokosoa kutokana hasira hawa wamekosa kitu na wanaotete ili kuwakomesha wakosoaji.
UKOSOAJI WA KWELI UNATOKA KWA WATU WASIOKUWA NA VYAMA NA WANACHAMA KUTOKA UPINZANI.