GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Ningewashangaa sana Simba SC kama kweli wangemsajili Shiboub kwani ameshaishiwa Uwezo na wapo Wachezaji wa Kumzidi Kikosini kwa sasa.
"Hii Michuano ya Mapinduzi Cup ni kama tu Bonanza na kwa Uhusiano wetu mzuri na Shiboub alituomba tu Simba SC aje Kutalii na Kuwasalimia Wachezaji wenzake Kikosini ila hatuna mpango nae na hakuna popote tulisema tunataka Kumsajili" amesema Mwenyekiti wa Bodi ya Simba SC Salim Abdallah Mhene ( alias ) Try Again.
Chanzo: EFM Radio Kipindi cha Michezo cha Sports Headquarters muda mfupi tu uliopita.