Elections 2010 Shibuda Amtaka Nduguye Kikwete Kuachia Ngazi!!!

minda

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2009
Posts
1,068
Reaction score
67
mgombea ubunge katika jimbo la maswa magharibi (chadema), john shibuda, amemtaka mgombea urais kupitia ccm, rais jakaya kikwete, kuachana na harakati za kuwania nafasi hiyo na badala yake ampigie kura dk. slaa:

"Ndugu yangu Kikwete, kama kweli unamwogopa Mungu, basi mpigie kura Dk. Slaa ili awe Rais wa Tanzania...ikiwa unamuenzi Mwalimu Nyerere, achia ngazi, ukapambane na ufisadi ndani ya CCM."

Source: Nipashe - 13 septemba, 2010.​

wakuu,
hii imekaaje?​
 
Hehehe
Hizo zinaitwa ngumi za mbavu
bado za chembe
 
hehe.. maneno ya wanasiasa alikosa la kuongea huyo
 
WANA-SI-HASA bwana mwanasiasa yule uliyemjua jana sio huyu unayemjua leo
 
mgombea ubunge katika jimbo la maswa magharibi (chadema), john shibuda, amemtaka mgombea urais kupitia ccm, rais jakaya kikwete, kuachana na harakati za kuwania nafasi hiyo na badala yake ampigie kura dk. slaa:

"Ndugu yangu Kikwete, kama kweli unamwogopa Mungu, basi mpigie kura Dk. Slaa ili awe Rais wa Tanzania...ikiwa unamuenzi Mwalimu Nyerere, achia ngazi, ukapambane na ufisadi ndani ya CCM."
Source: Nipashe - 13 septemba, 2010. wakuu,
hii imekaaje?​
What a joke!
Mimi ninahitaji mabadiliko ya kweli TZ (tena kwa haraka kabisa)....lakini Shibuda jamani?? Hell no... simuhitaji mtu wa aina hii kwenye crusade nyeti kama hii!!
 
Lakini alichosema unakubaliana nacho?
 
mgombea ubunge katika jimbo la maswa magharibi (chadema), john shibuda, amemtaka mgombea urais kupitia ccm, rais jakaya kikwete, kuachana na harakati za kuwania nafasi hiyo na badala yake ampigie kura dk. slaa:

"Ndugu yangu Kikwete, kama kweli unamwogopa Mungu, basi mpigie kura Dk. Slaa ili awe Rais wa Tanzania...ikiwa unamuenzi Mwalimu Nyerere, achia ngazi, ukapambane na ufisadi ndani ya CCM."

Source: Nipashe - 13 septemba, 2010.​

wakuu,​

hii imekaaje?​
Ukisha yavua mavazi ya kijani na njano automatically unafiki unakwisha unakuwa kiumbe kipya. Shibuda wa sasa ni mwingine na si yule wa ccm kwa kuwa yupo chama makini .. ameanza kuongea kwa kutumia akili. Big up Shibuda
 
What a joke!
Mimi ninahitaji mabadiliko ya kweli TZ (tena kwa haraka kabisa)....lakini Shibuda jamani?? Hell no... simuhitaji mtu wa aina hii kwenye crusade nyeti kama hii!!

Mnakubali wenyewe kuwa mnachokifanya ni crusade!
 
mgombea ubunge katika jimbo la maswa magharibi (chadema), john shibuda, amemtaka mgombea urais kupitia ccm, rais jakaya kikwete, kuachana na harakati za kuwania nafasi hiyo na badala yake ampigie kura dk. slaa:

"Ndugu yangu Kikwete, kama kweli unamwogopa Mungu, basi mpigie kura Dk. Slaa ili awe Rais wa Tanzania...ikiwa unamuenzi Mwalimu Nyerere, achia ngazi, ukapambane na ufisadi ndani ya CCM."

Source: Nipashe - 13 septemba, 2010.​

wakuu,
hii imekaaje?​

Natamani aitishe tena press amwambie sasa maana hicho kiti cha ikulu kakalia koti la mwingine na anaweweseka, hajui la kufanya.
 
What a joke!
Mimi ninahitaji mabadiliko ya kweli TZ (tena kwa haraka kabisa)....lakini Shibuda jamani?? Hell no... simuhitaji mtu wa aina hii kwenye crusade nyeti kama hii!![/QUOTE]
Hii hatari kwa kweli kumbe mapambano si umasikini wa Watanzania bali watu fulani.
 
Back
Top Bottom