What a joke!mgombea ubunge katika jimbo la maswa magharibi (chadema), john shibuda, amemtaka mgombea urais kupitia ccm, rais jakaya kikwete, kuachana na harakati za kuwania nafasi hiyo na badala yake ampigie kura dk. slaa:
"Ndugu yangu Kikwete, kama kweli unamwogopa Mungu, basi mpigie kura Dk. Slaa ili awe Rais wa Tanzania...ikiwa unamuenzi Mwalimu Nyerere, achia ngazi, ukapambane na ufisadi ndani ya CCM."Source: Nipashe - 13 septemba, 2010. wakuu,
hii imekaaje?
Lakini alichosema unakubaliana nacho?What a joke!
Mimi ninahitaji mabadiliko ya kweli TZ (tena kwa haraka kabisa)....lakini Shibuda jamani?? Hell no... simuhitaji mtu wa aina hii kwenye crusade nyeti kama hii!!
Kesho tu (si mbali) atasema kinyume chake. SubiriLakini alichosema unakubaliana nacho?
Ukisha yavua mavazi ya kijani na njano automatically unafiki unakwisha unakuwa kiumbe kipya. Shibuda wa sasa ni mwingine na si yule wa ccm kwa kuwa yupo chama makini .. ameanza kuongea kwa kutumia akili. Big up Shibudamgombea ubunge katika jimbo la maswa magharibi (chadema), john shibuda, amemtaka mgombea urais kupitia ccm, rais jakaya kikwete, kuachana na harakati za kuwania nafasi hiyo na badala yake ampigie kura dk. slaa:
"Ndugu yangu Kikwete, kama kweli unamwogopa Mungu, basi mpigie kura Dk. Slaa ili awe Rais wa Tanzania...ikiwa unamuenzi Mwalimu Nyerere, achia ngazi, ukapambane na ufisadi ndani ya CCM."
Source: Nipashe - 13 septemba, 2010.
wakuu,
hii imekaaje?
kiwete anafaa kuwa waziri wa starehe na wanawake..! tuuuuuuuuuuu
What a joke!
Mimi ninahitaji mabadiliko ya kweli TZ (tena kwa haraka kabisa)....lakini Shibuda jamani?? Hell no... simuhitaji mtu wa aina hii kwenye crusade nyeti kama hii!!
mgombea ubunge katika jimbo la maswa magharibi (chadema), john shibuda, amemtaka mgombea urais kupitia ccm, rais jakaya kikwete, kuachana na harakati za kuwania nafasi hiyo na badala yake ampigie kura dk. slaa:
"Ndugu yangu Kikwete, kama kweli unamwogopa Mungu, basi mpigie kura Dk. Slaa ili awe Rais wa Tanzania...ikiwa unamuenzi Mwalimu Nyerere, achia ngazi, ukapambane na ufisadi ndani ya CCM."
Source: Nipashe - 13 septemba, 2010.
wakuu,
hii imekaaje?
What a joke!
Mimi ninahitaji mabadiliko ya kweli TZ (tena kwa haraka kabisa)....lakini Shibuda jamani?? Hell no... simuhitaji mtu wa aina hii kwenye crusade nyeti kama hii!![/QUOTE]
Hii hatari kwa kweli kumbe mapambano si umasikini wa Watanzania bali watu fulani.