Elections 2010 Shibuda awamwaga CCM

Elections 2010 Shibuda awamwaga CCM

Kiraka

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2010
Posts
4,285
Reaction score
4,074
Chadema 17075
CCM 17014
Kama kawa wamebana wameachia!!

Matokeo Rasmi Channel ten
 
sipati picha atakapokuwa bungeni hasira zake kwa ccm
 
Mwacheni shibuda ajirambe kikurya(buryaaaaaaaaa buryaaaaa ) jamani ni mtu jasiri huyu!
 
Ebu piga picha timu nzima ya askari wapya wa chadema watakavyokuwa bungeni.
 
safari hii chadema wamepata mtu maana anawajua ccm ndani nje.............................mbona bunge tamu sfari hii
 
Dah ila imeniuma sana kupita kiasi kwani hapo katika hiyo timu amekosekana Rwakatale.
 
Back
Top Bottom