Mzito Kabwela JF-Expert Member Joined Nov 28, 2009 Posts 18,887 Reaction score 7,673 Oct 30, 2010 #1 Kuna tetesi kuwa Magale Shibuda amezuiwa kugombea ubunge. Wenye taarifa plz tujulisheni
Shalom JF-Expert Member Joined Jun 17, 2007 Posts 1,315 Reaction score 125 Oct 30, 2010 #2 No alizuiliwa kufanya kampeni tu
QUALITY JF-Expert Member Joined Sep 27, 2010 Posts 853 Reaction score 115 Oct 30, 2010 #3 Siyo kweli. Jioni hii ameongea kupitia ITV. Ni uongo wa CCM. Tena anaweza kuchukua jimbo
H hebronipyana JF-Expert Member Joined Oct 15, 2010 Posts 265 Reaction score 78 Oct 30, 2010 #4 mzittokabwela said: Kuna tetesi kuwa Magale Shibuda amezuiwa kugombea ubunge. Wenye taarifa plz tujulisheni Click to expand... Hiyo si kweli kakanusha kwenye taarifa ya hbari muda mfupi uliopita.
mzittokabwela said: Kuna tetesi kuwa Magale Shibuda amezuiwa kugombea ubunge. Wenye taarifa plz tujulisheni Click to expand... Hiyo si kweli kakanusha kwenye taarifa ya hbari muda mfupi uliopita.
Ally Msangi JF-Expert Member Joined Jun 29, 2010 Posts 608 Reaction score 120 Oct 31, 2010 #5 manina zao ccm wataipata joto ya jiwe mwaka huu