simpatii yeyote ya kwangu itaharibikaSimaanishi kluwa kila mtu ni mfuasi wa CCM humu. lakini naomba kila mtu ajisikie huru kujibu.
Assume wewe ni Mjumbe wa NEC na majina mawili yameletwa kupigiwa kura kumpata mgombe uraisi kwa tiketi ya CCM. Kura ungempigia nani kati yao?
NB This is assumption as I believe even if CHIBUDA will apply for presidency, his name will not easily get passed for voting to the floor...
Hilo si swali kwavile Shibuda hana nia ya kuchukua fomu ya urais alichofanya ni danganya toto ili ijulikana JK anweza kuwa na mpinzani,lakini Shibuda hatochukua fomu.
hatachukua form? UNA MAANA KWAMBA ANAMWOGOPA SHEHE YAHYA aliyesema watakufa watakao fanya hivyo? nchi yetu inaongozwa na wachawi jamaniii!
Will vote for Salim Ahmed Salim!
Ni mchawi yupi anaongoza nchi? na kama yupo umejua vipi kuwa huyo ni mchawi? kwa vitendo vipi? au ni dhana tu?