Uchaguzi 2020 Shibuda: Yanayoendelea nchini ni aibu. Tanzania ina Demokrasia bandia

Nimekuwa nikisema siku zote na leo narudia viongozi au watu wanaojinasibisha sana na Mungu wanatakakiwa kuangaliwa upande wa pili,dini na unyenyekevu mbele ya hadhara huwa kivuli tu cha kuficha utitiri wa maovu,hali ya mambo inavyokwenda ni dhahiri si njema kabisa,kisasi kikijaa moyoni hufumua mwili ili kutoka,na pindi kikitoka matokeo,yake ni ukatili,vita na mauaji ya kutisha,madaraka madaraka,wenye mamlaka mnakotupeleka hapana sio mahali sahihi hata kidogo,hili linatakiwa kutazamwa na kila mtanzania mwenye akili.Rwanda na nchi nyingi yalianza hivi,hawakupenda.
 
Tusiangalie tulipoangukia tuangalie tulipojikwaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…