ngoshwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2009
- 4,131
- 937
Hospitali ya Ludewa (Jimbo la Prof. Raphael Mwalyosi) !!

Akina mama ambao wanawauguza ndugu zao katika hosptali ya Wilaya ya Ludewe wakisonga Ugali nje ya wodi ya akina mama wanaosubiri kujifungua, kati ya akina mama 100,000.wajawaito 200 hupoteza maisha katika Wilaya hiyo kutokana na ukosekanaji wa miundombinu.

Wanawake wajawazito toka katika vijiji 76 vinavyo zunguka Wilaya ya Ludewa wakiwa wamelala na wengine wakila chakula huku wakiwa wamesubilia siku zao za kujifungua katika hospitali ya Wilaya ya Ludewa Mkoa wa Iringa kati ya akina mama 100,000 wajawazito 200 hufariki kutokana na ukosefu wa huduma.

Inasikitisha: Baadhi ya akina mama wajawazito wakiwa nje ya wodi ya wazazi katika hospitali ya Wilaya ya Ludewa ambapo jengo hilo lina vitanda 6 na kila kitanda hutumiwa na akina mama wajawazito wawili. Wengine hulazimika kulala chini.
Wanaoonekana pichani ni wanafunzi wa shule ya Msingi Juhudi iliyopo katika Wilaya ya Kigoma Vijijini mkoani Kigoma nchini Tanzania (Shule ya Msingi Juhudi - Kigoma Vijijini, Tanzania - wavuti)
Wanafunzi wa shule ya Msingi Kinole, katika halmashauri ya wilaya ya Morogoro, wakiwa wamekaa chini kutokana na uhaba mkubwa wa madawati unaoikabili shule hiyo
Mwalimu, Albert Juakali wa shule ya msingi Iboma iliyopo kijiji cha Udinde Wilaya ya Chunya Mkoani Mbeya akifundisha wanafunzi wa darasa la kwanza chini ya Mti wa Mbuyu.

Maisha Bora kwa kila Mtanzania?.

Tunazungumzia "fly overs" sasa!!

Mtazamo:
Hivi shida za watanzania hawa wanasiasa hawazio kwa macho??. Hata lini wataendelea kutumia matatizo ya msingi ya wanachi kama kauli mbiu ya kutaka kushindia uchaguzi.? HILI ENEO LINA MBUGE NA WATENADJI WOTE WA SERIKALI NA SIO KUWA HAYA MAISHA HAWAYAONI WALA HAWAYAJUI. LAKINI BADO VIONGOZI HAWA WANADIRIKI KUTUNISHA VIFUA MBELE HUKU WAKITUMIA FEDHA ZA UMMA NA KUENDELA KUTAMBA HUKU NA KULE KUWA WATANZANIA TUNA MAISHA BORA!!
INASIKITISHA NA KUTIA UCHUNGU SANAAAANA SANA!.
Ikiwa haya maeneo ambayo watu wamekuwa wakiishi kama hawapo tanzania yana viongozi ambao walichaguliwa kwa ahadi ya kuwaletea masisha bora, ni vyema sasa wakati tukielekwa uchaguzi mkuu, matatizo kama haya yabainishwe kama sehemu ya kuwawajibisha Wanasiasa na viongozi wa Serikali katika maeneo husika kwani nchi inaangamia.
Tafadhali kama inawezekana kupata thread maalumu ya kuchangia maoni kwa mifano ya wazi ya picha za maeneo ambayo hali ni ngumu kuliko vile wanasiasa wanavyojigamba, itakuwa ni jambo jema ili ikibidi jamii ijue na kupima iwapo viongozi husika wanastaili kuendelea kujigamba majukwani kuhusu maisha bora kwa watanzania.

SHULE ZA MSINGI: