Enock P T
Member
- Nov 20, 2019
- 8
- 20
Naomba kujua changamoto hasa ni nini maana mimi ni wakala wa wa Airtel Money ila sasa kuna baadhi ya wateja namba zao ukiwa unaziwekea hela yaani umeweka namba ya mteja na kiasi ukishakubali tu inaandika neno "Success in Swahili" na hapo ndo inakuwa ndo mwisho maanake haiendelei na mteja hela inakuwa haijaingia kwake, naomba kujua shida ni nini..., plz wadau wa JF mwenye kujua tusaidiane.
Sent from my Infinix X6517 using JamiiForums mobile app
Sent from my Infinix X6517 using JamiiForums mobile app