Shida kwenye baadhi ya namba za Airtel kuziwekea hela.

Enock P T

Member
Joined
Nov 20, 2019
Posts
8
Reaction score
20
Naomba kujua changamoto hasa ni nini maana mimi ni wakala wa wa Airtel Money ila sasa kuna baadhi ya wateja namba zao ukiwa unaziwekea hela yaani umeweka namba ya mteja na kiasi ukishakubali tu inaandika neno "Success in Swahili" na hapo ndo inakuwa ndo mwisho maanake haiendelei na mteja hela inakuwa haijaingia kwake, naomba kujua shida ni nini..., plz wadau wa JF mwenye kujua tusaidiane.

Sent from my Infinix X6517 using JamiiForums mobile app
 
Nenda duka la Airtel wakusaidie
 
Kuna baadhi ya namba zimeungwa lipa namba huwa inakuwa ivyo
 
Wapigie huduma kwa wateja wakupe suluh ishu inakuwa usajili aa iyo line aujakamilika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…