Shida ni Mali??

Katika maisha si vema kuwalimbikizia mali warithi wako....
Jambo la msingi ni kuwafundisha warithi wako jinsi ya kutafuta mali zao wenyewe.
Hivi unajua thamani ya mali yako haitakua sawa kwa warithi wako? Kwamba nyumba ama gari lako sio lazima likawa la thamani kwa mwanao?
Mfunze mwanao kutafuta mwenyewe kwanza ndipo uhangaike kumtafutia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…