Shida nini Twitter inaniletea hivi?

Hivi mbona Mimi Twitter inanailetea hivi tangia asubuhi shida nini wadau msaada maana nimejaribu Kila mbinu inagoma
Verify. Na probably ulikuwa unaangalia ma porn huko.

Click picha zenye penguin.. ni ndege gan huyu sijui kwa kiswahili, ila angalia picha zake click itaendelea kujifungua
 
Verify. Na probably ulikuwa unaangalia ma porn huko.

Click picha zenye penguin.. ni ndege gan huyu sijui kwa kiswahili, ila angalia picha zake click itaendelea kujifungua
Ila wewe jamaaaaa πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…