ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
Tatizo c kwamba yanga imeshuka kiwango, tatizo ninkuwa nchi yetu imeharibika na Sasa umeingia kwenye uchumi wa Kamali , ambapo vijana wengi sana wenye ajira na wasio na ajira wameingia kwenye biashara hiyo ya kamali na kubeti.
Nchi inakusanya mapato mengi sana kupitia kubeti, hivyo inapelekea kila ofisi ya serikali, boda boda, mabenk, madukani kariakoo stori ni odds, over 1.5, mara G.G
Sasa nimegundua mashabiki uchwala iyo presha wanayotoa Kwa Yanga Haina uhalisia Bali ni Hasira za wao kukosa pesa ya kamali kupitia bettings, wanaweka pesa nyingi na kuamini yanga atashinda Ili wapate pesa ya kujikimu lakini inapotokea mkeka umechanika basi kelelel.
Nawafahamu wachambuzi wengi wa vituo vya Radio na wao ni wadau wakubwa wa kubeti, hivyo tuache lawama, we kama umeamua kubeti na ukaliwa basi Kaa kimya.