Robot la Matope
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 8,174
- 16,794
Miongoni mwa waumini wa kanisa la mchungaji Paul Makenzie wa nchini Kenya [emoji1139] waliookolewa walipokuwa porini kwenye maombi ya kufunga ili kuonana na Yesu.
Ila pamoja na kuokolewa bado hawataki kula, wameshikilia msimamo wao wa kuendelea kufunga mpaka kufa ili wakakutane Yesu.
Hadi sasa waliokutwa wamezikwa baada ya kufariki wamefika watu 95 ambao tayari miili yao imefukuliwa na zoezi la uokozi bado linaendelea.