Shida ya gesi tumboni

HONEST HATIBU

Member
Joined
Aug 19, 2020
Posts
63
Reaction score
153
Wakuu habari za muda.

Naomba kuelewa hili, hivi gesi inaweza kuathiri uwezo wa kutembea.

Mana nina gesi inanisumbua ni muda sasa nimeenda kupima h-pylory sina.

Nimepima ultrasound bali sina shida.

Ila gesi inasumbua sana hadi uwezo wa kutembea nashindwa.

Nipeni maelezo na dawa tiba.
 
Tafuna punje 3 za kitunguu saum na umeze na usikae mbali na choo

Badili mfumo wako wa kula sio kila siku unabugia vyakula vya wanga t
 
Pole sana mkuu ngoja wataalamu waje
 
Tumia vitunguu swaumu utakuja kunishukuru baadaye.

Meza angalau punje nne kila siku asubuhi na usiku unapolala.

Ki hospitali hospitali kama shida ni gesi tu , vidonge vya magnesium huwa vinasaidia pia.


Nenda kapime choo vizuri , typhoid nk.
 
Tatizo haliwezi kuisha kama ulaji wako ni ule ule; kwa sasa unatakiwa ubadili mfumo wako wa chakula, kula vyakula vizuri mara kwa mara, supu ya sato, kongoro, kitimoto, juisi, matunda mchanganyiko, mboga za majani n.k​
 
Pole San mkuu ila naona umedili San na upande m1,vp kuhus upande wa pili.kienyej daw pia zipo mkuu ila pia tiba haiwezi kuw kamil Kam ww pia hubadilik
 
Nunua fungu la Bamia,OSHA kata kata vipande vidogo vidogo halafu weka kwenye jagi lenye maji safi ya kunywa funika jioni Hadi asubuhi au masaa kumi na mbili,fungus kunywa hayo maji kama kawaida tu ndio yawe maji Yako ya kunywa Kwa siku husika!!

Yakiisha rudia tena!

Jaribu
 
Umekalia utajiri mkuu..gesi dili duniani kote kwa sasa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…