KERO Shida ya maji Mpiji Magoe

KERO Shida ya maji Mpiji Magoe

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Katika maeneo ya CCM hata mpiji mwisho hatuna Maji ya dawasco.

Mwaka jana alikuja Mpiji Magoe mbunge wetu wa Kibamba akatupa taarifa kuwa mradi wa maji unakuja na akajinadi ni jihada zake.

Lakini maji hayo yalikuja tukamegwa maeneo yote yanayopokea maji kutoka ya kisima kilichopo CCM. Maji haya yanatoka mara 1 au mara mbili kwa wiki. Na wakati mwingine hayatoki kabisa. Ikikaribia vipindi vya chaguzi yanatoka.

Watu wakafuatilia na vita ikaanza kutoka kwa viongozi dhidi ya hao wanaofuatilia. Ikaonekana wazi kwamba wanafanya hivyo ili waendelee kuuza maji ya kisima.

Kaya nyingi wananunua maji kutoka kwa watu waliochimba visima kwa ajili ya baishara ambayo nayo ni ya chumvi.

Kinachoniuma ni kwanini mbunge alikimbilia kutuambia maji yanakuja halafu halafu maji yanakwepeshwa na hatumwoni tena huku?
 
Maji yanauzwa na nani hapo?

Kiongozi yupi kagoma kuwapa ushirikiano?
 
Mbunge wenu atakua mmoja Kati ya wale waliobebwa na marehemu.
 
Katika maeneo ya CCM hata mpiji mwisho hatuna Maji ya dawasco.

Mwaka jana alikuja Mpiji Magoe mbunge wetu wa Kibamba akatupa taarifa kuwa mradi wa maji unakuja na akajinadi ni jihada zake.

Lakini maji hayo yalikuja tukamegwa maeneo yote yanayopokea maji kutoka ya kisima kilichopo CCM. Maji haya yanatoka mara 1 au mara mbili kwa wiki. Na wakati mwingine hayatoki kabisa. Ikikaribia vipindi vya chaguzi yanatoka.

Watu wakafuatilia na vita ikaanza kutoka kwa viongozi dhidi ya hao wanaofuatilia. Ikaonekana wazi kwamba wanafanya hivyo ili waendelee kuuza maji ya kisima.

Kaya nyingi wananunua maji kutoka kwa watu waliochimba visima kwa ajili ya baishara ambayo nayo ni ya chumvi.

Kinachoniuma ni kwanini mbunge alikimbilia kutuambia maji yanakuja halafu halafu maji yanakwepeshwa na hatumwoni tena huku?
Nyie ni mazombi yaani karne hii bado eti mnachekelea mama kaupiga mwingi kwa kuwaahidi maji ya visima! Mtaendelea kutawaliwa daima na walioungaunga vyeti.
 
Back
Top Bottom