Shida ya maji ndani ya tozo Morogoro Mjini

Love Nuru

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2018
Posts
758
Reaction score
1,194
Mamlaka husika i.e. Morowasa na mamlaka zenye mamlaka ya kuwawajibisha Morowasa tunaomba mtufikirie sisi wananchi Morogoro manisapaa, kata ya Kihonda-maghorafani.

Ni wiki ya tatu sasa, maji hayajatoka katika mabomba yetu, kibaya zaidi hatujapewa taarifa yoyote kama kuna tatizo au ni uvivu tu wa kutoa huduma. Wiki tatu bila maji, hebu fikirieni tunaishi vipi!

Ombi letu, mamlaka zinazohusika zishughulikie tatizo hili kwa haraka, tambueni ya kuwa maji ni uhai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…