Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Kwa ivo na rushwa pia ni sababu!!??Gsm anawahonga sana
Mwamedi ndo anaongoza....the teh...Kwa ivo na rushwa pia ni sababu!!??
Nasikia posho yao Marefa kwa mechi moja ni shilingi laki nne(400,000), sasa wahongaji wanajua kuchezesha vibaya adhabu yake ni kuzuiwa kuchezesha mechi tatu ambayo refa atakosa milioni moja na laki mbili (1,200,000). Wao wanampa kabisa hiyo hela, kisha ndiyo wanaongezea dau juu ya milioni moja na laki mbili.
Marefa kwa kujua kufungiwa si rahisi kiivyo, huchukua hiyo hela na kuchezesha vibaya na maisha yanaendelea. Othman Kazi alipojaribu kulisemea hili akafungiwa maisha kuwa Refa.
Lakini kwenye mechi nyingi tu hawa watu wanaboronga, sema mechi za Simba na Yanga ndizo watu mnazitolea macho. Lakini tuna marefa wenye viwango vya chini kabisa.Mwamedi ndo anaongoza....the teh...
Unataka kuharibu mada yako nzuri kwa kukaribisha hoja za mashabiki maandazi humu ndani. GSM au Mo watahongaje mechi ya Kagera Sugar vs Ihefu? Kuna watu hawana vichwa vya kutosha kujadili mambo ya maana hivyo achana nao.Lakini kwenye mechi nyingi tu hawa watu wanaboronga, sema mechi za Simba na Yanga ndizo watu mnazitolea macho. Lakini tuna marefa wenye viwango vya chini kabisa.
Nachelea kusema kwamba tuna marefa wa hovyo sana.
Kama Mkuu wa mkoa anashiriki unadhani nani tena anaweza kuzuia Marefa kuhongwa!! Vyama vya mipira vya mikoa navyo havishiriki?Mkuu wa mkoa husika anaunda timu ya kumkarimu refa ili timu ya mkoa wake ishinde.
Ni shida kubwa sana.Lakini kwenye mechi nyingi tu hawa watu wanaboronga, sema mechi za Simba na Yanga ndizo watu mnazitolea macho. Lakini tuna marefa wenye viwango vya chini kabisa.
Nachelea kusema kwamba tuna marefa wa hovyo sana.