Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Wakuu,
Kumekuwa na shida ya mtandao karibu wiki sasa, saa nyingine ikifika usiku mtandao unakuwa chini sana na wakati mwingine hata siku nzima, unakuta mtandao unasumbua kweli na hii ni kwa mitandao yote, yaani Voda, Airtel ns mingine.
Cha kushangaza shida hii ya mtandao inabagua baadhi ya sites, kuna mitandao ukiingia ni shida kwelikweli wakati ukienda sehemu nyingine huexperience hili, mpaka najiuliza au kuna namna inafanywa hapa?!
Pia soma: Mtandao wa facebook na Instagram haupatikani
Kama umechunguza mtandao ukiwa shida utaona inavyokiwa shida kufungua baadhi ya mitandao kama vile JF, Whatsapp, Telegram na X kama sijakosea, ila ukienda FB, Youtube, google search engine na kwengine unakuwa hukutani na shida hiyo!
Kwanini inatokea hivi? Kwanini ni baadhi ya sites ndio zinapata shida? Au ndio wanatafuta njia ya kuanza kutuzimia mtandao kipindi cha uchaguzi kikifika halafu wakiulizwa watakuwa wanasema hakuna tatizo sababu mitandao mingine iko sawa?
Serikali pamoja na makampuni ya mawasiliano nchini TUNATAKA majibu juu hiki kinachoendelea sasa, kupata taarifa ni haki yetu ya kikatiba.
====
Pia soma:
~ Tupeane Updates: Hali ya mtandao ikoje mahali ulipo? Shughuli zako zinaenda kama kawaida?
~ Historia ni mwalimu mzuri, msiseme sikuwaambia!
~ Shida ya mtandao inayoendelea nchini tatizo ni nini? Serikali mpo kimya kampuni za mitandao mpo kimya! Sasa nani ana majibu?