Shida ya mwenzako si sababu ya kumdhalilisha

Umeona ubadil na username kabisa πŸ™Œ bwana life255
 
Tafuta hela, huwezi kuwa masikini ukaheshimika. Umeandika Uzi mrefu Sana lakini ukweli unabaki pale pale.
 
Ooh ngebe na majivyno yako yamekwisha sasa heshima iko wapi,

Ulipotoka shamba kuingia mjini mm nimekuona huwezi kunitisha.....

mmmmm..... mmmmm ...... mmmmm

cc Seran
Nimechoka kumshuri bwana mdogoπŸ€¦πŸ½β€β™€οΈ
 
Great thinkers mmeniangusha,imewachukua muda mrefu kugundua huyu ni ze Gana,.like two working days??na akili zangu ndogo niligundua week mbili zilizopita..
Wewe ni matako nini? Kwa akili zako timamu na maandiko yangu nije nianze kulilia hela za makapuku wa jf?
 
Umebadili hadi jina, Chiwawa kazi unayoo dogo.
Vipi umekula lakini? Maana 20k hujapata hadi muda huu.
Acha usenge, nimekwambia kama leo hakuna wa kukushughulikia chukua magunzi uji chokonoe
 
Acha usenge, nimekwambia kama leo hakuna wa kukushughulikia chukua magunzi uji chokonoe
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ dogo umekula?? Acha kuvunga, maana 20k hujapata hadi muda huu.
Vipi kesho unaishije? Kuna mchongo kazi ya saidia fundi, uko tayari?
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ dogo umekula?? Acha kuvunga, maana 20k hujapata hadi muda huu.
Vipi kesho unaishije? Kuna mchongo kazi ya saidia fundi, uko tayari?
Sina time kukaa nijadiliane na takataka
 
Sina time kukaa nijadiliane na takataka
Takataka ni wewe unaye omba omba hapa JF, ukiambiwa upewe mchongo wa kazi hutakiii.
Hakuna cha buree, shauri yako.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
IDs zote hizo hazina zikipost hazijali kama unajidhalilisha,unadhalilisha wengine or bila kujali wengine watajisikiaje,upo radhi to be ridiculed,mocked,or clowned,hakuna aibu,huruma wala regrets,ID hizo zipo hivyo..

Desperation&attention seeking

Hizo ID zote zipo humo,mfano katika ID ya Ze gana uliandika uzi wa kuomba msamaha,watu wakawa wanakusema tabia yako unawaka,walivyoacha kujibu ukawa una comment peke yako

"Njoeni sasa mniseme,mko wapi mbona mmekimbia,wote leo njooni mtoe nyongo" ulijiqoute mwenyewe mara 4 ukiita watu wakuseme..

Na katika ID ya leo ya kuomba hela watu wakiwa slow kukusema uache tabia mbaya still unaji qoute mwenyewe ukiendelea kuomba kwenye comment sio kujibu,no just commenting on your own sh*t..

MAHUSIANO:

ID zote hazina mahusiano mazuri na watu nje ya JF

Mfano Ze gana nasikia imetongoza wanawake karibu wote JF na wote wamempiga kibuti(clown)

Pia recently umesema wanawake 10 fb wamekuzingua,kama mtaani unapoishi umeshindwa ku connect na watu,online hutoweza..

Na hiyo ID ya kuomba hela kama ana mahusiano mazuri na watu anapotoka asingekua anakuja kuomba hela humu kila siku,huyo sio tu hana mtu wa kumsaidia,hata wa kumwambia tu kumpa faraja hana..so wote walewale.

Kwa leo hayo namaliza wino kwa mjinga mmoja,ila kwa patterns kibao na ID moja hiyo ya kwako pia watu hawajastuka bado..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…