Shida ya simba ni namba 10, au winga ya Mpanzu?

Shida ya simba ni namba 10, au winga ya Mpanzu?

Danielmwasi

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2021
Posts
2,134
Reaction score
3,834
Kwani namba 10 si ameshakuja huyo Ateba na wenzake, labda issue ni kuimarisha kikosi kwa ajili ya michuano yote

Kumbuka kwenye mpira majeruhi huwa hawakosekani, sasa lazima ujiandae kwa kila kitu usikose mbadala pale utakapokwama
 
Simba naona shida ni number10. simba aitengenezi nafasi za kutosha , magori ni chances created.

Simba inacheza big games, inatengeneza 2-3 chances . ila small games mpira unaonekana sana.

huyu Mpanzu winger wa nini simba?? na chances ndo shida yetu.

wanasimba ebu tuongee mpira, shida ya hiki kikosi nini?

Soma Pia: Elie Mpanzu amekamilisha usajili wa kujiunga na Simba SC, mkataba wa miaka mitatu
Nilikereka sana walipomwacha Natural Striker Bw. Fred Michael. Yaani yule jamaa alikuwa anajua kuficha mpira aisee. Mechi ya Yanga vs Simba ya mwaka 2023/2024 Mkondo wa Pili alimdondosha chini Mlinzi Bora wa NBC Premier League Bw. Ibra Bacca na kufunga goli tamu. With time, alishaanza kuzoea mikiki ya Ligi ya Tanzania. Tatizo Viongozi wa Simba wako busy sana kuwasikiliza upande wa pili (Yanga). Matokeo yake wamemtema na kumleta Mshambuliaji Machachari Bw. Lionel Ateba.
 
Kila anayeweza Ku type tu na Yeye ni Mchambuzi....!

Nchi ngumu sana hii.... ! Wengine Muwe mnasubiri kuitwa Kwenye supu tu ,uchambuzi hamuuwezi jamani..
 
Kuna amakosa Mengi sana ndani ya usajili wa Simba.

Tangu mwaka 2019 simba wamesajili wachezaji 81 makocha 11 wachezaji viongozi wa simba wanaiba hela mpaka wanajisahau wazee wa 10 percent

Nimeongea Na medal anasema bosa ni mgumu sana kutoa Pesa za usajili, anavizia magalasa.

Hadi sasa simba ina shida kwenye nafasi zaidi ya Tano.
1. Beki no 5.
2. Kiungo mkabaji 6.
3. Winga zote mbili ni shida 7,11.
4. Eneo la no 10
5. Hata eneo la mshambuliaji ni tatizo 9

Kunawachezaji wapo pale hadi unashangaa.
Ayoub lakred.
Ngoma.
Nouma.
Ohua.
Mutale.
 
Simba tunahitaji washambuliaji hatari aina ya Mpanzu,,
Na sio kulundika kundi la washambuliaji machachari.

Big up uongozi wa sinba kwa kumleta Mpanzu.
 
Simba tunahitaji washambuliaji hatari aina ya Mpanzu,,
Na sio kulundika kundi la washambuliaji machachari.

Big up uongozi wa sinba kwa kumleta Mpanzu.
who will create chances in the mid field??
 
Simba naona shida ni number10. simba aitengenezi nafasi za kutosha , magori ni chances created.

Simba inacheza big games, inatengeneza 2-3 chances . ila small games mpira unaonekana sana.

huyu Mpanzu winger wa nini simba?? na chances ndo shida yetu.

wanasimba ebu tuongee mpira, shida ya hiki kikosi nini?

Soma Pia: Elie Mpanzu amekamilisha usajili wa kujiunga na Simba SC, mkataba wa miaka mitatu
Shida hakuna wachezaji wa maana ni kma usajili ulikuwa kwa ajili ya ligi kuu tu..ila hakuna mchezaji wa kimataifa pale..
 
Back
Top Bottom