Danielmwasi
JF-Expert Member
- May 3, 2021
- 2,134
- 3,834
Mpanzu mpaka acheze si hadi dirisha ndogo?Kwani namba 10 si ameshakuja huyo Ateba na wenzake, labda issue ni kuimarisha kikosi kwa ajili ya michuano yote
Kumbuka kwenye mpira majeruhi huwa hawakosekani, sasa lazima ujiandae kwa kila kitu usikose mbadala pale utakapokwama
YesMpanzu mpaka acheze si hadi dirisha ndogo?
Nilikereka sana walipomwacha Natural Striker Bw. Fred Michael. Yaani yule jamaa alikuwa anajua kuficha mpira aisee. Mechi ya Yanga vs Simba ya mwaka 2023/2024 Mkondo wa Pili alimdondosha chini Mlinzi Bora wa NBC Premier League Bw. Ibra Bacca na kufunga goli tamu. With time, alishaanza kuzoea mikiki ya Ligi ya Tanzania. Tatizo Viongozi wa Simba wako busy sana kuwasikiliza upande wa pili (Yanga). Matokeo yake wamemtema na kumleta Mshambuliaji Machachari Bw. Lionel Ateba.Simba naona shida ni number10. simba aitengenezi nafasi za kutosha , magori ni chances created.
Simba inacheza big games, inatengeneza 2-3 chances . ila small games mpira unaonekana sana.
huyu Mpanzu winger wa nini simba?? na chances ndo shida yetu.
wanasimba ebu tuongee mpira, shida ya hiki kikosi nini?
Soma Pia: Elie Mpanzu amekamilisha usajili wa kujiunga na Simba SC, mkataba wa miaka mitatu
Ikifuzu makundi atacheza only international games. Ligi ya ndani mpk dir8sha dogo la usajiriMpanzu mpaka acheze si hadi dirisha ndogo?
Hahahah ukiyaangalia haya unaweza kujiuliza Mbappe alisajiliwa kwa lengo gani pale R. Madrid?Kila anayeweza Ku type tu na Yeye ni Mchambuzi....!
Nchi ngumu sana hii.... ! Wengine Muwe mnasubiri kuitwa Kwenye supu tu ,uchambuzi hamuuwezi jamani..
Kwani winga kazi yake nini?Simba naona shida ni number10. simba aitengenezi nafasi za kutosha , magori ni chances created.
Simba inacheza big games, inatengeneza 2-3 chances . ila small games mpira unaonekana sana.
huyu Mpanzu winger wa nini simba?? na chances ndo shida yetu.
wanasimba ebu tuongee mpira, shida ya hiki kikosi nini?
Soma Pia: Elie Mpanzu amekamilisha usajili wa kujiunga na Simba SC, mkataba wa miaka mitatu
Vp kuhusu yule Kiungo konokono tume maoni yakoNilichogundua ndani ya hii miaka michache; Simba wanafanya usajili wao kwa mihemko! Na wasipobadilika, wasahau kuhusu ubingwa wa ligi kuu na pia ule wa kombe la shirikisho.
Amepiga goli leo! Ulimuona pamoja na mzee mwenzake Nungunungu?Vp kuhusu yule Kiungo konokono tume maoni yako
who will create chances in the mid field??Simba tunahitaji washambuliaji hatari aina ya Mpanzu,,
Na sio kulundika kundi la washambuliaji machachari.
Big up uongozi wa sinba kwa kumleta Mpanzu.
wings wa kwenda kwenye kona. wakizamani sanaKwani winga kazi yake nini?
Shida hakuna wachezaji wa maana ni kma usajili ulikuwa kwa ajili ya ligi kuu tu..ila hakuna mchezaji wa kimataifa pale..Simba naona shida ni number10. simba aitengenezi nafasi za kutosha , magori ni chances created.
Simba inacheza big games, inatengeneza 2-3 chances . ila small games mpira unaonekana sana.
huyu Mpanzu winger wa nini simba?? na chances ndo shida yetu.
wanasimba ebu tuongee mpira, shida ya hiki kikosi nini?
Soma Pia: Elie Mpanzu amekamilisha usajili wa kujiunga na Simba SC, mkataba wa miaka mitatu
Hakika mkuuShida hakuna wachezaji wa maana ni kma usajili ulikuwa kwa ajili ya ligi kuu tu..ila hakuna mchezaji wa kimataifa pale..