kavulata JF-Expert Member Joined Aug 2, 2012 Posts 18,154 Reaction score 17,491 Aug 11, 2026 #1 Tofauti ya Yanga na Simba ni viwango vyao vya umbumbumbu. Umbumbumbu wa mashabiki wa Simba ulianza kutangazwa na mwanasimba mwenzao Kaduguda na kukolezwa na Rage. Ukiona mashabiki wanakunya hadharani mchana kweupe hao unaweza kuwageuza unavyotaka kama samaki kikaangoni. Ni mchezaji gani Tz hapendi kucheza Yanga?. Bado Libase. View: https://youtube.com/shorts/rJ6GrPvl8DA?si=s5d4GWYfe0Is8WbF
Tofauti ya Yanga na Simba ni viwango vyao vya umbumbumbu. Umbumbumbu wa mashabiki wa Simba ulianza kutangazwa na mwanasimba mwenzao Kaduguda na kukolezwa na Rage. Ukiona mashabiki wanakunya hadharani mchana kweupe hao unaweza kuwageuza unavyotaka kama samaki kikaangoni. Ni mchezaji gani Tz hapendi kucheza Yanga?. Bado Libase. View: https://youtube.com/shorts/rJ6GrPvl8DA?si=s5d4GWYfe0Is8WbF
Andromeda Galaxy JF-Expert Member Joined Feb 7, 2025 Posts 9,846 Reaction score 16,713 Aug 11, 2026 #2 Inakera mnatangaziwa mchezaji atakuwepo msimu ujao alafu ghafla mnasikia mtani wenu anatangaza kumsajili siku mbili baadae Viongozi wa Simba hawajawatendea haki mashabiki wao
Inakera mnatangaziwa mchezaji atakuwepo msimu ujao alafu ghafla mnasikia mtani wenu anatangaza kumsajili siku mbili baadae Viongozi wa Simba hawajawatendea haki mashabiki wao
Marcostilone JF-Expert Member Joined Jun 25, 2023 Posts 7,018 Reaction score 17,932 Aug 11, 2026 #3 If your money is always iko Benki instead of being in the owner's account, players will move on.
Ubungo Mataa JF-Expert Member Joined Nov 24, 2018 Posts 547 Reaction score 993 Aug 11, 2026 #4 Hongera sana mkuu, wewe mwenye akili nyingi. Una Scania ngapi barabarani mkuu? Au hii thread umeipandisha ukiwa kwenye chumba cha kupanga huku ukiwatukana matajiri? #PESA ipo bank
Hongera sana mkuu, wewe mwenye akili nyingi. Una Scania ngapi barabarani mkuu? Au hii thread umeipandisha ukiwa kwenye chumba cha kupanga huku ukiwatukana matajiri? #PESA ipo bank