kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Hata wazungu waligundua kuwa tatizo lao sio waamuzi wazuri viwanjani bali technology ya kufidia mapungufu ya kibinadamu katika kuona na kufanya maamuzi kwa matukio yanayotokea kwa haraka sana.
Tutaendelea kuwalaumu bure waamuzi wetu. Hata wakosoaji wanatumia fursa ya kuangalia tena na tena camera za uwanjani.
Tutaendelea kuwalaumu bure waamuzi wetu. Hata wakosoaji wanatumia fursa ya kuangalia tena na tena camera za uwanjani.