Refa alikuwa anataka mpira uishe haraka akateke maji[emoji1787]View attachment 2018344
VAR ya nini hapa
Mechi ya Argentina waamuzi wa VAR wamefukuzwa na faini juu kwa kubadili matokeoHata wazungu waligundua kuwa tatizo lao sio waamuzi wazuri viwanjani bali technology ya kufidia mapungufu ya kibinadamu katika kuona na kufanya maamuzi kwa matukio yanayotokea kwa haraka sana.
Tutaendelea kuwalaumu bure waamuzi wetu. Hata wakosoaji wanatumia fursa ya kuangalia tena na tena camera za uwanjani.
Ufanyike uchunguzi kwanza sababu inayopelekea maamuzi ya hovyo kutoka kwa marefa. Maamuzi mabovu yanaweza kusababishwa na rushwa, muamuzi kutokuwa makini tu (anapanic) au ni ushabiki.Kwahiyo unataka nini, toa suluhisho kuhusu nini kifanyike. Unataka tulete marefa kutoka sayari nyingine?