Shida yote hii inasababishwa na

#Shida yote hii inasababishwa na mbwembwe tu.
 
#Shida yote hii inasababishwa na wahubiri wa mwendo kasi
 
#shida yote hii inasababishwa na PPF na SSRA
 
#Shida yote hii ni mnyoosho wa hapa kazi tu
 
Shida yote hii inasababishwa na mikurupuko ya mwendo kas
 
#Shida yote hii inasababishwa na kubana kwa bajet
 
# Shida yote hii inasababishwa na uvivu wa kutokufikiria kwa Watanzania.
 
#Shida yote hii inasababishwa na watu kutokuwa na Bima mbalimbali ..ukiumwa majanga. Ukiibiwa majanga.ukipata ajali majanga.
 
Tatizo la watu kulalamikia viongozi.

#Shida yote hii inasababishwa na mkwamo wa katiba mpya
 
Huna mood una hasira hasira
#Shida yote inasababishwa na kushindwa ku control stress
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…