Shigongo aliwazidije clauds mapene hadi akawa juu zaidi yao

Shigongo aliwazidije clauds mapene hadi akawa juu zaidi yao

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Jaman hivi huyu mtoto wa mwanza shigongo aliwapikuje hawa watoto wa mujin clauds had akawazidi pesa na akawa juu zaidi yao na kuanza kushusha maghorofa makubwa mujin mwanza na dar

Alifanikiwa vp kunufaika kimuziki na kuwapiku clauds wakati hawa jamaa walikuwa juu zaid yake na team yao ni kubwa zaidi yake wao ni wengi yeye ni mmoja kawazidi vp huyu jamaa

Naomben kuwasilisha
 
Unazungumzia ile misukuma yenye meno ya kuoza
 
Umevuka mipaka baada ya kuhusisha africa na dunia nzima
Hivi wasukuma mna tajiri gani ambaye ni notable hapa Tanzania?

Wachaga wana Mengi, Shirima wa Precision, Ernest Massawe wa Swala Energy..

Wahaya wana Ali Mafuruki, Rweyemamu wa Escrow, Karamagi..

Sasa nyie wasukuma mna nani ambaye anatambulika hapa Tanzania?
 
Wasukuma tuna Bashite na Dr Magu.mashi, (The untouchable)
 
Back
Top Bottom