Shigongo aomba Bunge limpe kinga ya Katiba Mkurugenzi wa PCCB

Shigongo aomba Bunge limpe kinga ya Katiba Mkurugenzi wa PCCB

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
Mbunge wa Bushosa, Erick Shigongo amependekeza Bunge lifanye maamuzi ya kumuwekea Kinga ya Kikatiba Mkurugenzi wa TAKUKURU ili aweze kufanya kazi kwa kujiamini na kuepusha kuingiliwa majukumu.

 
Daah ndio tutegemee Maendeleo kwenye Nchi yenye Wabunge aina hiyo...wacha tuue Kingi tuu
 
Back
Top Bottom