Ku#_+";773!'';zakeKongamano la Umoja wa Bodaboda na Machinga Dar es Salaam limewakutanisha viongozi mbalimbali akiwemo Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo, Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam, Elihuruma Mabelya, RPC Ilala pamoja na Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo.
Tukio hilo lililojumuisha mamia ya Vijana liliandaliwa kwa lengo la kuhamasisha na kuimarisha misingi ya uzalendo nchini.
Katika mkutano huo, Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo, aliwaongoza bodaboda na machinga kula kiapo cha kuilinda amani ya Tanzania, akiwakumbusha umuhimu wa kutambua nafasi yao katika kutunza utulivu wa nchi.
Vijana walionesha utayari wao kwa kunyosha mikono juu kabla ya kutamka kiapo cha kupenda na kutetea taifa pamoja na kuilinda amani kwa manufaa ya vizazi vijavyo.
Tukio hilo limekuja siku chache baada ya Shigongo kuwaapisha maelfu ya vijana wa vyuo vikuu mkoani Mwanza, ambao nao waliapa kulinda amani ya Tanzania hatua inayoonesha msisitizo wa kuilinda Tanzania.
Kibongo bongo / Africa masikini hana optionIla wazee umaskini mbaya sana kwanini boda boda na machinga?
uvccm hili taifa sio la mama zenu na baba zenu hili taifa ni la watanzania wote samia ccm muuaji tukutane 9/12/2025Kongamano la Umoja wa Bodaboda na Machinga Dar es Salaam limewakutanisha viongozi mbalimbali akiwemo Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo, Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam, Elihuruma Mabelya, RPC Ilala pamoja na Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo.
Tukio hilo lililojumuisha mamia ya Vijana liliandaliwa kwa lengo la kuhamasisha na kuimarisha misingi ya uzalendo nchini.
Katika mkutano huo, Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo, aliwaongoza bodaboda na machinga kula kiapo cha kuilinda amani ya Tanzania, akiwakumbusha umuhimu wa kutambua nafasi yao katika kutunza utulivu wa nchi.
Vijana walionesha utayari wao kwa kunyosha mikono juu kabla ya kutamka kiapo cha kupenda na kutetea taifa pamoja na kuilinda amani kwa manufaa ya vizazi vijavyo.
Tukio hilo limekuja siku chache baada ya Shigongo kuwaapisha maelfu ya vijana wa vyuo vikuu mkoani Mwanza, ambao nao waliapa kulinda amani ya Tanzania hatua inayoonesha msisitizo wa kuilinda Tanzania.
Shetani ana mikwara sanaKongamano la Umoja wa Bodaboda na Machinga Dar es Salaam limewakutanisha viongozi mbalimbali akiwemo Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo, Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam, Elihuruma Mabelya, RPC Ilala pamoja na Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo.
Tukio hilo lililojumuisha mamia ya Vijana liliandaliwa kwa lengo la kuhamasisha na kuimarisha misingi ya uzalendo nchini.
Katika mkutano huo, Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo, aliwaongoza bodaboda na machinga kula kiapo cha kuilinda amani ya Tanzania, akiwakumbusha umuhimu wa kutambua nafasi yao katika kutunza utulivu wa nchi.
Vijana walionesha utayari wao kwa kunyosha mikono juu kabla ya kutamka kiapo cha kupenda na kutetea taifa pamoja na kuilinda amani kwa manufaa ya vizazi vijavyo.
Tukio hilo limekuja siku chache baada ya Shigongo kuwaapisha maelfu ya vijana wa vyuo vikuu mkoani Mwanza, ambao nao waliapa kulinda amani ya Tanzania hatua inayoonesha msisitizo wa kuilinda Tanzania.
Huyo fala anawaapisha ili CCM iendelee kuiba kura na kuongoza hii nchi. Hatuwataki wapumbavu ninyi, mnatuua halafu mnatuapisha. Subirini nyie paka.Kongamano la Umoja wa Bodaboda na Machinga Dar es Salaam limewakutanisha viongozi mbalimbali akiwemo Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo, Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam, Elihuruma Mabelya, RPC Ilala pamoja na Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo.
Tukio hilo lililojumuisha mamia ya Vijana liliandaliwa kwa lengo la kuhamasisha na kuimarisha misingi ya uzalendo nchini.
Katika mkutano huo, Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo, aliwaongoza bodaboda na machinga kula kiapo cha kuilinda amani ya Tanzania, akiwakumbusha umuhimu wa kutambua nafasi yao katika kutunza utulivu wa nchi.
Vijana walionesha utayari wao kwa kunyosha mikono juu kabla ya kutamka kiapo cha kupenda na kutetea taifa pamoja na kuilinda amani kwa manufaa ya vizazi vijavyo.
Tukio hilo limekuja siku chache baada ya Shigongo kuwaapisha maelfu ya vijana wa vyuo vikuu mkoani Mwanza, ambao nao waliapa kulinda amani ya Tanzania hatua inayoonesha msisitizo wa kuilinda Tanzania.
Nyumbu anatakiwa akamatwe kikatili bila staha yoyote huwezi kuiba na kuharibu mali alafu utake kukamatwa kistaarabu dawa ni kuchapwa risasiSisi Amani hatuitaki
Tunataka polisi aje mkamata mtu kwa staha, uwazi, awe na kibali cha mahakama.
Tunataka watu waishi bila hofu ya kutoiona kesho
That is sooooo pathetic!Kongamano la Umoja wa Bodaboda na Machinga Dar es Salaam limewakutanisha viongozi mbalimbali akiwemo Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo, Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam, Elihuruma Mabelya, RPC Ilala pamoja na Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo.
Tukio hilo lililojumuisha mamia ya Vijana liliandaliwa kwa lengo la kuhamasisha na kuimarisha misingi ya uzalendo nchini.
Katika mkutano huo, Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo, aliwaongoza bodaboda na machinga kula kiapo cha kuilinda amani ya Tanzania, akiwakumbusha umuhimu wa kutambua nafasi yao katika kutunza utulivu wa nchi.
Vijana walionesha utayari wao kwa kunyosha mikono juu kabla ya kutamka kiapo cha kupenda na kutetea taifa pamoja na kuilinda amani kwa manufaa ya vizazi vijavyo.
Tukio hilo limekuja siku chache baada ya Shigongo kuwaapisha maelfu ya vijana wa vyuo vikuu mkoani Mwanza, ambao nao waliapa kulinda amani ya Tanzania hatua inayoonesha msisitizo wa kuilinda Tanzania.
Vipi Mwamposa alikuwepo?Kongamano la Umoja wa Bodaboda na Machinga Dar es Salaam limewakutanisha viongozi mbalimbali akiwemo Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo, Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam, Elihuruma Mabelya, RPC Ilala pamoja na Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo.