PreGE2025 Shigongo, atimiza ahadi yake ya kufunga taa za barabarani katika kata 6 jimbo kwake Buchosa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Ndio zinaondoa Umasikini?;Changamoto ya hili taofa ni umasikini wa Vipato na hicho ndicho wazungu walifanya na Wachina wanafanya pia,
 
Hii ni kubwa sana. Shigongo mitano tena

----

​

Nimetimiza ahadi yangu ya kufunga taa za barabarani, hatua itakayowasaidia wananchi kuendesha shughuli za kiuchumi na kibiashara hata nyakati za usiku.

Ufungaji wa taa hizo kwa sasa unaendelea katika kata za Lugata, Bulyaheke, Katwe, Bangwe, Kafunzo na Nyehunge, huku akiahidi kuwa zoezi hilo litaendelea hadi kufikia kata zote 21 za Jimbo la Buchosa.

Utekelezaji wa mradi huu ni sehemu ya kutimiza ahadi nilizotoa kwa wananchi, sambamba na kutekeleza llani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).
 
Kazi za mbunge ni pamoja na kuweka taa za barabarani?
Zisije zikawa kama kule CHATO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…