Hata Mwinyi, Mkapa na Kikwete waliweza kujenga taasisi imara pia.Kuna wapumbavu hawaoni makosa ya Marehem hapa ya kuendesha nchi Kwa kumuogopa mtu mmoja badala ya kujenga taasisi imara
Hayo maneno umemezesha na wajasiasiasa na vibaraka wa mabereru eti " jenga mfumo imara" ikiongee neno mfumo imara unaonekana ni unaakili. Acha kuwahadaa wasio na elimu mfumo imara ni nchi tajiri na zenye watu wachache kama US, UK, Sweden, Norway.Kuna wapumbavu hawaoni makosa ya Marehem hapa ya kuendesha nchi Kwa kumuogopa mtu mmoja badala ya kujenga taasisi imara
Hizo taasisi zitakuwa zinaongozwa na panya!!? Au watu?Kuna wapumbavu hawaoni makosa ya Marehem hapa ya kuendesha nchi Kwa kumuogopa mtu mmoja badala ya kujenga taasisi imara
Ndio maana Kila wakati wanazungumza "angekuwepo" kama vile mtu huyo angeishi mileleKuna wapumbavu hawaoni makosa ya Marehem hapa ya kuendesha nchi Kwa kumuogopa mtu mmoja badala ya kujenga taasisi imara
Hili ni tatizo kubwa sanaKuna wapumbavu hawaoni makosa ya Marehem hapa ya kuendesha nchi Kwa kumuogopa mtu mmoja badala ya kujenga taasisi imara
Shigongo muongo huko madongo kuporomoka kuna mwenye uwezo huo wa kununua unit 2400? Au anamanisha 240?Akiwa Bungeni, mbunge Shigongo amelalamikia wananchi kutoka jimbo lake la Buchosa, visiwa vya Zilagula na Maisonga kununua unit moja kwa Tshs 2,400 kutoka kwa kampuni binafsi za Power Gen...
Sure!Ndio maana Kila wakati wanazungumza "angekuwepo" kama vile mtu huyo angeishi milele
Kuna nchi zilizoendelea zenye watu wengi na zenye watu wachache. Ila zote zina mifumo imara. Kwa ulizotaja USA ina watu 300+ million (GDP $22 Trln), UK ina watu 68+ million (GDP £1.96 Trln), Sweden ina watu 10+million (GDP $529 bln) na Norway ina watu 5+ million (GDP $ 360 bln) Tanzania ina watu 59+ min (GDP $50 bln)Hayo maneno umemezesha na wajasiasiasa na vibaraka wa mabereru eti " jenga mfumo imara" ikiongee neno mfumo imara unaonekana ni unaakiri. acha kuwaadaa wasio na elimu mfumo imara ni nchi tajiri na zenye watu wachache kama US, UK, Sweden,norway,