LCoE ya umeme kutoka kwenye kampuni hizo ni kiasi gani!? Tukijua hilo, itatuwia raihisi sana kujua kama hiyo bei ya 2400 ni halali ama la!!
Nani amekwambia kuwa US ina watu wachache?Hayo maneno umemezesha na wajasiasiasa na vibaraka wa mabereru eti " jenga mfumo imara" ikiongee neno mfumo imara unaonekana ni unaakiri. acha kuwaadaa wasio na elimu mfumo imara ni nchi tajiri na zenye watu wachache kama US, UK, Sweden,norway,
Anang'ata na kupuliza, in short watu hawaogopi uongozi uliopo sasaSasa kama anajua Mama ni moto wa kuotea mbali, kwa nini aseme wamepandisha baada ya hayati kutangulia mbele?
... Shigongo anaongelea umeme unaozalishwa na watu binafsi, ... sehemu ambazo TANESCO hawajafika!Kumbe umeme umepanda toka lini?...
Mama si kuwa anahujumiwa. Mama, watu hawamuogopi. Anatakiwa awe mkali watu wamuogope.Mama asipokubali kuwa anahujumiwa, atakuja kugundua wakati ameshachelewa.
Na wewe ni mwizi kama wao. Nchi hii unatakiwa kuendesha kwa amri kali. La hivyo tutakula mabuaHata mwinyi, mkapa na kikwete waliweza kujenga taasisi imara pia....
Kwa nini hawakulalamika wakati bei ya sukari ilipopanda kutoka 1,500/= hadi 3,000/ mara baada ya Magufuli kuingia madarakani? Na bei haijashuka hadi leo!Akiwa Bungeni, mbunge Shigongo amelalamikia wananchi kutoka jimbo lake la Buchosa, visiwa vya Zilagula na Maisonga kununua unit moja kwa Tshs 2,400 kutoka kwa kampuni binafsi za Power Gen..
Kwanini kabla waliweza na sasa wasiweze, kama wangekuwa wanapata hasara ya sh 2300 kwa unit wangekuwa wamefunga biashara siku nyingi, hakuna namna huo ni upigaji.LCoE ya umeme kutoka kwenye kampuni hizo ni kiasi gani!? Tukijua hilo, itatuwia raihisi sana kujua kama hiyo bei ya 2400 ni halali ama la!!
Hoja ya hovyo, eti baada ya HAYATI kupumzika. Huwezi kujenga hoja bila kumtaja JPM.Akiwa Bungeni, mbunge Shigongo amelalamikia wananchi kutoka jimbo lake la Buchosa, visiwa vya Zilagula na Maisonga kununua unit moja kwa Tshs 2,400 kutoka kwa kampuni binafsi za Power Gen..
Kama huelewi si ukajielimishe uelewe au wewe bado una akili za kimanamba manamba kwamba huwezi kutengeneza mifumo inayojiendesha bila kumtegemea mtu.Hayo maneno umemezesha na wajasiasiasa na vibaraka wa mabereru eti " jenga mfumo imara" ikiongee neno mfumo imara unaonekana ni unaakiri. acha kuwaadaa wasio na elimu mfumo imara ni nchi tajiri na zenye watu wachache kama US, UK, Sweden,norway,