Hao uliowataja walitengeneza mifumo gani imara? Labda useme walianzisha baadhi ya mifumo kwenye taasisi ila kamwe haikufanywa kua imara.Hata mwinyi, mkapa na kikwete waliweza kujenga taasisi imara pia....
Kama uelewi jipe muda wakujielimisha how things work sio kuuliza swali kwa kejeli wakati huna unachokijua.Hizo taasisi zitakuwa zinaongozwa na panya!!?
au watu?
Fitna hiyo mkuu...Sasa kama anajua Mama ni moto wa kuotea mbali, kwanini aseme wamepandisha baada ya hayati kutangulia mbele?
Hujui lolote wwKama uelewi jipe muda wakujielimisha how things work sio kuuliza swali kwa kejeli wakati huna unachokijua.
Tatizo lake alikuwa sukumagang na alibebwa kwenye kura no wonder bado anaweweseka.Sasa kama anajua Mama ni moto wa kuotea mbali, kwanini aseme wamepandisha baada ya hayati kutangulia mbele?
Swali la kwanza tu inaonesha haujanielewa. Lakini sawaHao uliowataja walitengeneza mifumo gani imara?.labda useme walianzisha baadhi ya mifumo kwenye taasisi ila kamwe haikufanywa kua imara.Huyo mtu suitable unayemsema ni hadi awe rais ndo umuone ni suitable je kama hajapata nafasi ya kua rais utajuaje usuitable wake?.Kwahiyo baada ya mtu wako suitable kufa na akakosekana suitable mwingine unadhani nini kitatokea?.
Chuki zako za kipumbavu dhidi ya Magufuli hazitusaidii lolote, endelea na stress zako bashwee, bado Magufuli atabaki kuwa shujaa wa nchii hii, hata mufanyeje ni kazi bure kamwe mizoga cartel hamtamfikia kwa uthubutu na maendeleo aliyoyafanya mwendazake katika muda mfupa.Kuna wapumbavu hawaoni makosa ya Marehemu hapa ya kuendesha nchi Kwa kumuogopa mtu mmoja badala ya kujenga taasisi imara.