Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,775
- 2,891
Aamke kutoka usingizini, dunia imebadilika. Siasa za aina hiyo hazifanyi kazi tenaMbunge wa Buchosa, Eric Shigongo akiwahutubia wananchi wa Nyehunge, amesema Buchosa ijayo itakuwa ni ya viwanda na utalii ambapo ameonesha kukerwa na suala la maji ya kunywa kwenye jimbo hilo kusafirishwa kutoka Shinyanga.
View attachment 3322636
Kuna umasikini wa kutisha hapo BuchoshaMbunge wa Buchosa, Eric Shigongo akiwahutubia wananchi wa Nyehunge, amesema Buchosa ijayo itakuwa ni ya viwanda na utalii ambapo ameonesha kukerwa na suala la maji ya kunywa kwenye jimbo hilo kusafirishwa kutoka Shinyanga.
View attachment 3322636
Wadanganye huko huko buchosa.Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo akiwahutubia wananchi wa Nyehunge, amesema Buchosa ijayo itakuwa ni ya viwanda na utalii ambapo ameonesha kukerwa na suala la maji ya kunywa kwenye jimbo hilo kusafirishwa kutoka Shinyanga.
View attachment 3322636
Hili nalo kama gwajima kwa utapeli.Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo akiwahutubia wananchi wa Nyehunge, amesema Buchosa ijayo itakuwa ni ya viwanda na utalii ambapo ameonesha kukerwa na suala la maji ya kunywa kwenye jimbo hilo kusafirishwa kutoka Shinyanga.
View attachment 3322636