LGE2024 Shigongo: CCM ndiyo chama cha kuleta maendeleo Tanzania, Vijana wa CCM ni waelewa na wana akili

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
Wakuu,

Vijana hawa waelewa na wenye akili ndio akina Lucas Mwashambwa na Tlaatlaah na ChoiceVariable?

====

Kupata taarifa za kimkoa kuhusu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Your browser is not able to display this video.

Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo amefunguka na kueleza kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndiyo Chama cha kuleta maendeleo Tanzania na siyo vyama vingine.

Shigongo ameyasema hayo alipokuwa Nyehunge Novemba 23 2024 na Vijana wa Hamasa wa CCM.
 
Aisee...
Hivi si ndiye aliyejitangaza msibani kwamba marehemu tesa alikuwa analala kwake ...
Maana unapojisumbua juu ya mtu inabidi uangalie na akili zake pia,usijejishusha hadhi
 
Huenda CCM ya kwenye hadithi zake ndiyo anayoizungumzia
 
Sasa wewe huoni kuwa akili yangu ni kubwa sana kulinganisha na BAVICHA nzima.Mimi naweza kwenda kutoa semina kwa BAVICHA na wakabakia wanabubujikwa na machozi ya furaha muda wote na kuomba kadi za CCM na UVCCM.
 
Mh. Shigongo ni mwanaume kamili bana,

na amesema ukweli mtupu,
na vijana wa Buchosa na maeneo mengine yote nchini wako kazini kwenye kampeni za nyumba kwa nyumba, kijiwe kwa kijiwe na kuhakikisha ushindi wa kishindo kwa wajumbe wote wa CCM, lakini pia wenyeviti wa mitaa na vijiji wa CCM.

waTanzani wana imani kubwa mno na CCM,

Kidumu Chama Cha Mapinduzi 🐒
 
Tangu atapeliwe pesa zake za kampeni na CCM amekuwa mwehu. Ngoja aropoke ili CCM wafikirie hata kumlipa nusu ya pesa zake
 
Maajabu haya yanapatikana Tanzania pekee kama tuvijana hutu ndio twenye tuakili.
 
Sasa wewe huoni kuwa akili yangu ni kubwa sana kulinganisha na BAVICHA nzima.Mimi naweza kwenda kutoa semina kwa BAVICHA na wakabakia wanabubujikwa na machozi ya furaha muda wote na kuomba kadi za CCM na UVCCM.
Uliwahi kutoka seminar wapi hata hao wapuuz wenzio wasio na akili uvccm walisha kupuuza.
 

..miaka 63 ya uhuru bado tunasubiri maendeleo yatakayoletwa na Ccm.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…