The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
heche aliliwa pension yake yote ya ubunge kwenye kubeti dah 🐒Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo amewaasa vijana kutoendekeza ulevi na kubet na kwamba Tanzania haiwezi kuwa taifa la vijana wanaowaza pombe na kubet muda wote.
Amewataka kuelekeza nguvu kwenye shughuli za maendeleo ambazo zitawakwamua wao na familia zao.
View attachment 3338835
Cuca,diamond ,highlife,yobo,robot,kitoko,rivella .Amesema ukweli hali ni mbaya sana,kuna pombe zinauzwa madukani alcohol yake ni 40 ml 200 yaani ni kama bia tano za safari halafu yenyewe hiyo pombe ni sh 2000.Asubuhi mtu amelewa,kubet na kamari ni balaa lingine,baadhi ya vijana wanaibw wapate hela ya kamari na kubet.Halafu anatokea mharibifu mmoja anasema tunapata kodi
Wise counsel, my son. True strength comes from clarity of mind and purpose. Alcohol clouds judgment and weakens the spirit. A mortal who masters self-control becomes more powerful than the temptations that seek to diminish him.Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo amewaasa vijana kutoendekeza ulevi na kubet na kwamba Tanzania haiwezi kuwa taifa la vijana wanaowaza pombe na kubet muda wote.
Amewataka kuelekeza nguvu kwenye shughuli za maendeleo ambazo zitawakwamua wao na familia zao.
View attachment 3338835
Shimha, Ambiance, Farasi mweupeCuca,diamond ,highlife,yobo,robot,kitoko,rivella .
Ipo sijaitaja?
Kisungura.
Zote zipo Kwa ginn na vodka pamoja na whiskey.
Bei NI elf 2 ukikata moja Saa mbili asubui unazima mpaka Saa 10. Jioni
Hv Huyu Mbunge ni wa chama Gani,kama ni wa CCM basi apelekwe kwenye kamati ya maadili.anakuja kutuambia mambo na mikakatibya chama chao.Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo amewaasa vijana kutoendekeza ulevi na kubet na kwamba Tanzania haiwezi kuwa taifa la vijana wanaowaza pombe na kubet muda wote.
Amewataka kuelekeza nguvu kwenye shughuli za maendeleo ambazo zitawakwamua wao na familia zao.
View attachment 3338835
Kila heri mdau .shimha hii nilikata shinyangaShimha, Ambiance, Farasi mweupe