Wanabodi, ninamtafuta Nd. Ngwabi Ngawagilala mara ya mwisho kuonana nae alikuwa ni mkurugenzi wa SHIHATA katika miaka ya mwishoni ya 80. Mwenye kujua naweza kumpata wapi na yupo wapi kwa sasa naomba anitaarifu tafadhali...Ahsanteni.
Nakumbuka 2005 alikuwa St. Augustine University of Tanzania (SAUT), hivyo waweza ingia kwa web ya SAUT ili upate namba zao upige na kumuulizia, ama pia uandike email.